KaRIBU
SUMAJKT
AGRI-BUSINESS Co. lTD
Hii ni Kampuni inayosimamia uendeshwaji mzima wa mashamba yote pamoja na ranchi za kufuga wanyama.
Huduma zetu
Mashamba yetu yamekuwa yakitoa mazao ya viwango na yamekuwa yakipata sifa kwa kusababisha mazao kuongezea mazao ya viwango vya juu labisa
- Shamba la Mpunga, Chita 2. SUMAJKT Mngeta Plantation
3. Shamba la Alizeti, Hanang 4.Shamba la Usa River, wilaya ya Arumeru Arusha.
- Shamba la Mifugo Oljoro
2. Shamba la Mifugo Mafinga
3. Shamba la Mifugo Misenyi
Mradi huu wa SUMAPONICS ulianzishwa sept 2017 mara baada ya maonesho ya sabasaba kufuatia hitajio la mifumo ya kuzungusha maji katika ufugaji wa samaki. Mradi huu unahusika na utengenezaji na usambazaji mifumo ya kufuga samaki katika matenki (Recirculation Aquaculture System – RAS) sanjari na uzalishaji na usambazaji vifaranga wa samaki. Eneo la mradi ni 836KJ Mbweni JKT.
Mradi huu unazalisha vifaranga vya samaki na kuviuza kwa wahitaji pamoja na kutoa elimu ya ufugaji wa samaki kwa jamii na kuwajengea mifumo ya matenki.
TUNU ZA MRADI
Ubunifu
Uadilifu
Ufanisi
Huduma bora
Ushirikiano
DIRA
Kuwa mradi mkubwa unaojihisha na mnyororo mzima wa ufugaji samaki ndani nan je ya nchi
DHIMA
Kuanzisha mradi mkubwa utakaoweza kukamilisha mnyororo mzima wa ufugaji samaki kwa kutengeneza mifumo imara ya ufugaji samaki, kuzalisha chakula cha samaki, kuzalisha vifaranga vya samaki, kutengeneza masoko ya samaki na kutoa huduma za uga