waziri Juma Aweso akizindua miradi ya maji, Msomero.

Waziri Aweso afanya ziara Msomera kuangalia maendeleo ya huduma ya maji

Waziri wa Mji, Juma Aweso, alipotembelea kijiji cha Msomera, wilayani Handeni ambapo nyumba jumla 5000 pamoja na miundombinu ya maji imejengwa kupitia shirika la SUMAJKT.

Zaidi tazama video hii hapa kufahamu undani wa taarifa hio.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *